myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
We Numbisa wewe umenifanya nikale chocolate wakati nimejizuia wiki nzimaπ€ͺKupambana dhidi ya Msongo wa mawazo (stress).
Tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwa chocolate inasaidia kupunguza msongo wa mawazo au stress.
CR7 π₯°π₯°π₯°π₯°
πππππππTaamuuWe Numbisa wewe umenifanya nikale chocolate wakati nimejizuia wiki nzimaπ€ͺ
πMungu atupe afya na uzima π
Hatari na nusu ππππππππTaamuu
Hapo sasa, hii kampeni kabisa hii.,...Inasemekana kuwa Watu wanaokula Chocolate mara kwa mara huwa wembamba. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya.
πππππjamaniiiiHapo sasa, hii kampeni kabisa hii.,...
Duuh!WAJUE WANYAMA KWA SIFA ZAO ZA KIPEKEE.
1. Nyangumi.
Huyu ndio mnyama mkubwa kuliko wanyama wote, ukimuweka katika kiwanja cha mpira wa miguu, hubakiza mita chache ili kufikia nusu ya kiwanja hicho, mbali na ukubwa huo lakini ni mnyama mwenye macho madogo sana, ila sehemu za siri noma sana dume huwa na uume wenye futi 12.
Aisee!5. Kobe
Ndiye mnyama anayeishi miaka mingi duniani, pengine kuliko wanyama wengine wote hufikia miaka hadi 350, kwa Tanzania tunao wenye miaka 200+, kama nakuona raha za dunia zinavyokufanya utamani kuwa Kobe