Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂
 
13. Komba
Ndiye mnyama mlevi kuliko wanyama wote na akilewa hulia pasina sababu ya msingi, hata ukibahatika kumuona sura yake imekaa kilevi levi, hupendelea pombe za kienyeji kuliko bia, we watege kwa mnazi au ulanzi sio misosi hapo utawapata.
Hahaha..
Kuna Komba mtu naye ni mlevi kama wajina wake msituni huko😊
 
Mara nyingi kumekuwa na taarifa ambazo tunazipokea kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu maisha ya wanyamapori hususani wanyama wanaokua nyama.
 
Miongoni mwa taarifa hizo zinaweza kuwa na ukwel japokuwa zingine hazina ukweli kutokana na uewlewa mdogo juu ya tabia, mwenendo na maisha ya wanyama hawa.
 
Idadi yao ndogo inawasaidia wanayama hawa wanaokula nyama kuweza kuwinda na kupata chakula chao, kwa muda mfupi na pasipo kutumia nguvu kubwa.
 
Pamoja na yote hayo idadi yao imezidi kupungua zaidi hata kuhatarisha utoekaji wao duniani.
 
Kwa ufupi sana, tuone jinsi wanavyowinda

Simba:


Hawa ndio wanyama wkubwa kuliko wote jamii ya paka na huishi katika familia moja ambayo inaweza kuwa na simba hadi 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…