Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ‘
 
Hali ya hewa hatari kwa hio kitu opssss kumbe kwaresma hiii ningeeeee ushindweeee natunza pesa za pasaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] samahani kukutia majarbuni binti mpole, endelea kutunza kwenye kibubu, pasaka tukajiachie pale malaika au tunza [emoji3]
 
Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 21, ataomba kiwekwe kipengele cha kumruhusu kuondoka kwenye mkataba wowote atakaoingia kama atabadili vilabu msimu huu. (Sun)
 
Mshambuliaji wa Atletico Madrid kutoka Uruguay Luis Suarez, 35, anataka kucheza angalau msimu mwingine mmoja Ulaya kabla ya kutimkia MLS, na mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool anaweza kufikiria kurudi England huku Aston Villa ikiwa makini kumnasa. (Mail)
 
Kiungo wa AC Milan kutoka Ivory Coast Franck Kessie, 25 atakua usajili wa kwanza wa Barcelona dirisha la kiangazi litakapofunguliwa, huku beki wa kati wa Chelsea mdenmark Andreas Christensen, 25, akifuata, wote kwa uhamisho wa bure. (ESPN)
 
Mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 29, anasema "anachagizwa kuwa bora zaidi" chini ya meneja Antonio Conte, licha ya tetesi za mpango wa kutimkia Manchester United. (Sky Sports, via Mirror)
 
Arsenal imeongeza akiba yake kwa Β£20m kwa ajili ya kusajili mshambuliaji mpya baada ya kumuuza kiungo mfaransa Matteo Guendouzi,22 kwenda Marseille, na kiungo wa Uruguay Lucas Torreira, 26 kwenda Fiorentina. (Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…