antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Barcelona wameonyesha nia yao ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na England Marcus Rashford, 24.Mwaka 2019 Rashford alisaini mkataba wa United wa kulipwa £200,000-kwa wiki unaoishia June 2023 lakini amekua na kiwango kibovu msimu huu. (Manchester Evening News)