Mshambuliaji nyota wa Brazil Neymar, 30, amepinga ripoti kwamba anazozana na mchezaji wa kimataifa wa Italia na mchezaji mwenzake wa Paris St-Germain Gianluigi Donnarumma, 23, Baada ya timu yao kuondolewa katika michuano ya kombe la mabingwa na Real Madrid. (Mirror)