Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mayai pia yana viinilishe vingine vidogo vidogo (trace nutrients) ambavyo ni mhimu kwa afya bora.
 
.kolestroli huwa ni kama nta ambayo wakati mwingine hujishikiza kwenye kuta za mishipa ya damu. Hii ni kwa sababu ya vyakula vyenye mafuta(lipid foods) kama nyama n.k. Hivyo mdalasini hupambana na cholesterol/lehemu aina ya lipoprotini ya chini LDL(Low Density Lipoprotein) ambayo husabaisha shinikizo la damu (hypertension).
 
MDALASINI HUWA NA VIRUTUBISHO MUHIMU KWA MWILI.
Virutubisho hivyo huwa kazi kama kuboresha mifupa na meno kuwa imara zaidi yaani meno huwa na kinga dhidi ya kuoza
 
KUZUIA MAUMIVU YA VIUNGO (ARTHRITIS)
Tatizo la maumivu ya viungo hutokea pale mtu akiwa amepatwa na mshituko kwenye maungio. Pia kwa wale wenye maumivu yatokanayo na umri (uzee)
 
KUZUIA SELI ZA MWILI KUHARIBIKA(ANTIOXIDANTS)
Huongeza nguvu katika seli za mwili na ufanyaji kazi wake.
 
KUZUIA FANGASI NA BACTERIA. Fangasi na bakteria huchafua damu na kusababisha magonjwa ya ngozi na kuoza kwa meno. Hivyo mdalasini huzuia fangasi na bakteria
 
Ukiamua kuzungumzia matunda yenye faida ndani ya mwili wa binadamu basi ni lazima utalitaja chungwa kwani lina faida muhimu ikiwemo kujenga kinga imara za mwili.
 
Licha kwamba baadhi ya watu hulitumia tunda hili kama kiburudisho tu bila kujua faida zake mwilini, lakini leo napenda uzifahamu hizi faida 6 unazoweza kuzipata unapokula chungwa iwe chungwa lenyewe au juisi yake halisi.
 
UKOSEFU WA CHOO
Kutokana kuwa na kiwango kikubwa cha kirutubisho aina ya kambalishe ‘fibre’, chungwa husaidia usagaji wa chakula tumboni na hutoa ahueni kwa mtu mwenye matatizo ya ukosefu wa choo
 
HUPUNGUZA HATARI YA MAGONJWA YA MOYO
Kiwango kikubwa cha Vitamin C na virutubisho vya ‘flavonoids’, ‘phytonutrients’ vilivyomo kwenye chungwa, huondoa kwa mlaji hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo ‘Cardiovascular disease’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…