Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AFYA YA NGOZI
‘Anti oxidants’ iliyomo kwenye chungwa, hutoa kinga kwenye ngozi ili isiharibike au kushambuliwa na magonjwa ya ngozi yanayoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Pia huifanya ngozi ‘isizeeke’.
 
KINGA YA MWILI
Vitamin C iliyomo kwenye chungwa huimarisha uzalishaji wa seli nyeupe ambazo ni muhimu kwa uimarishaji wa kinga ya mwili. Unapokuwa na kinga imara, huwezi kusumbuliwa na magonjwa mara kwa mara, ikiwa ni pamoja na malaria.
 
UGONJWA WA MAFUA
Kutokana na wingi wa virutubisho vya kinga vilivyomo kwenye chungwa, ulaji wake mara kwa mara utakuepusha na magonjwa ya kuambukiza mathalani mafua ambayo yanawasumbua watu wengi.
 
Awali ya yote ni vyema kutambua ni tango lipi linafaaa kwa kula?Tango linalofaa kwa kula ni tango lenye rangi ya kijani iliyokolea na lisilo tepeta, tango la aina hii ni zuri zaidi.
 
Chanzo cha vitamin B.Madini ya silca yapatikananayo kwenye tango husaidia kucha na nywele kung`aa pia kuna madini ya silcon na sulfur kwenye tunda hili madini haya husaidia kuondoa uvimbe kwenye ngozi hivyo basi huweza kutumika kama urembo au kwa matunzo ya ngozi.
 
Huondoa harufu mbaya mdomoni.Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa tatizo hili hutibika kabisa kwa kutumia tunda hili. Chukua kipande cha tango kisha kibane kwenye pembe ya kinywa chako kwa muda wa dakika 2 hadi 3 hivi.Hii itasaidia kuua bakteria wasabaishao harufu mbaya mdomoni kwani tango lina pythochemicals zenye uwezo wa kuua bakteria hao.
 
Back
Top Bottom