Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kunywa maji mengi husaidia kutibu magonjwa kama UTI(Urinary Track Infection) au kwa lugha ya Kiswahili ni maambukizi katika Njia ya Mkojo,ambapo tafiti zinaonyesha Unywaji wa maji Wastani wa lita 2.5 kwa siku,hupunguza uwezekano wa kupata UTI za mara kwa mara kwa zaidi ya asilimia 50%