Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kunywa maji mengi husaidia kutibu magonjwa kama UTI(Urinary Track Infection) au kwa lugha ya Kiswahili ni maambukizi katika Njia ya Mkojo,ambapo tafiti zinaonyesha Unywaji wa maji Wastani wa lita 2.5 kwa siku,hupunguza uwezekano wa kupata UTI za mara kwa mara kwa zaidi ya asilimia 50%
 
tunawatakia swaumu njema.
tunawaombea swaumu iwabadilishe muwe wema siku zote ktk maisha yote na sio Ramadhan tu.
Tumheshimu mwenye mwezi wa Ramadhani ambaye ni Mungu ambaye yu hai muda wote, sasa huwa nawashangaa sana wale ambao wanavaa nguo za heshima ktk mwezi huu halafu ukiisha wanarudi kulekule!!
 
Unywaji Maji mengi husaidia kuzuia mtu kupatwa na Magonjwa Ya Moyo,Mfano; Utafiti uliofanyika Nchini Marekani kwa kipindi cha Miaka sita,husema kwamba unywaji waji Wastani wa Glasi 5 kila siku,husaidia kumkinga Mtu na magonjwa ya moyo kwa Wastani wa asilimi 41% zaidi ya wale wanaokunywa Glasi 2 au Chini ya hapa kwa siku
 
adhara ya Kutokunywa Maji mengi Mwilini
Kupata Choo kigumu sana hivo kukupelekea kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia,na hata michubuko pia sehemu ya Haja kubwa, Lakini pia kukosa Choo kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…