Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kawaida binadamu anahitaji saa 7 hadi 8 za kulala. Hivyo hakikisha unapata muda huu hadi muda ule unaotaka kuamka. Kwa mfano, ikiwa unataka kuamka saa 11 asubuhi, unatakiwa kulala saa 3 au 4 usiku.
 
Lala katika mazingira sahihi
Siyo mazingira yote yanayofaa kwa binadamu kulala. Mazingira mengine humfanya binadamu kuwa mchovu na kutopata usingizi mzuri.
 
Utamkuta mtu leo analala saa nne, kesho saa tatu, keshokutwa saa sita, siku nyingine saa mbili n.k. Jambo hili hukufanya kuwa na mfumo duni wa kulala na kutopata usingizi bora; kumbuka usipolala vizuri hutoweza kuamka vyema mapema asubuhi.
 
Back
Top Bottom