ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]..
Kuelekea jioni.Mungu atupe jioni njema [emoji120]
Nashukuru mwenye Enzi Mkuu Mungu kwa Uzima anaotujalia kwa kweli kila kitu kipo poa kabisa Mwaka unayoyoma hatariHabari njema kabisa aisee. Kweli ni masiku na tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kutuweka hai. Natumaini kila kitu kinaendelea vyema huko [emoji1545]
Na kwako mkuuSalam kwenu
Jioni njemaMungu atupe mchana mwqema...