Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika Maisha haya ya sasa ni vyema kujua kuwa kila tunalotenda lina madhara kwa wanadamu wenzetu hivyo ni vyema tuishi vyema na tutende mema ili wengine na dunia iwe na Amani na watu wasiteseke.
 
Ukitaka kuamini kuwa matendo yetu yana madhara kuanzia katika Maisha haya, tazama kwenye maisha utagundua kuwa, kila mtu anayetenda mema anaishi kwa Amani bila taabu na wale wanaotenda Mabaya kuna taabu wanazipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…