Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na kukabiliwa na hukumu ya nje, wanawake wanaopata zaidi ya wapenzi wao bado mara nyingi hubeba kazi nyingi za kitamaduni za 'kike', kama vile kazi za nyumbani na malezi ya watoto, na kuwaacha wakiwa na kazi nyingi kupita kiasi, chini ya shinikizo na kupigania kulinda ushirika wao dhidi ya hisia na mitazamo hasi. .
Umuhimu wa wasaidizi wa kazi za ndani ndo huanzia hapo
 
Ni vigumu sana kujua hisia ya moyo na siku zote unapojaribu kutaka kufahamu moyo unataka nini akili huwa inakuzuia na inaweza kukudanganya kuwa moyo unahisi hivi kumbe sio kweli.
unapopeleka wazo lolote kwenye akili ndipo unazidisha tatizo na sio kusuluhisha
Roho zetu ndio zinatuunganisha na malaika mlinzi wetu na Muumba
Kumbuka maamuzi yaliyotoka kwenye nafsi ni ya muhimu na kuzingatia.
Aisee!
 
Back
Top Bottom