Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umuhimu wa wasaidizi wa kazi za ndani ndo huanzia hapo
 
Ni vigumu sana kujua hisia ya moyo na siku zote unapojaribu kutaka kufahamu moyo unataka nini akili huwa inakuzuia na inaweza kukudanganya kuwa moyo unahisi hivi kumbe sio kweli.
unapopeleka wazo lolote kwenye akili ndipo unazidisha tatizo na sio kusuluhisha
Roho zetu ndio zinatuunganisha na malaika mlinzi wetu na Muumba
Kumbuka maamuzi yaliyotoka kwenye nafsi ni ya muhimu na kuzingatia.
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…