“Nafsi yao inawatawala walio dhaifu, wenye hekima hutawala nafsi zao, na wenye akili huwa katika mapambano ya mara kwa mara dhidi ya nafsi yao.”- Hamza Yusuf
"Sikubali kwamba unapopenda, wewe ni kipofu au mjinga. Unakuwa na hekima zaidi na kuona wazi zaidi kile kilicho bora na cha thamani.”- Hark Herald Sarmiento
Husaidia kutibu shida mbalimbali ambazo zinahusiana na ngozi ikiwa ni pamoja na chunusi, makovu ya chunusi na shida nyingine. Hii itaweza kusaidiwa kwa kunywa maji ya kutosha kila siku.
Spinanchi ina beta-carotene kwa wingi ambayo husaidia macho kuona vizuri, pia huzuia upungufu wa vitamin A ambayo inahitajika kwa wingi kwa afya ya macho.