mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
❗🙄Rais Samia ashinda tuzo ya kuendeleza Sekta ya Miundombinu Barani Afrika
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy kwa mwaka 2022. Tuzo hiyo inatolewa kwa watu mashuhuri barani Afrika ambao wameonesha dhamira yao ya kuendeleza sekta ya miundombinu ya usafiri katika...www.jamiiforums.com
Siku njema [emoji2772]