Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vilevile utafiti wa hivi karibuni unaeleza kwamba watu ambao huchelewa kulala au ambao hawapumziki kwa muda wa kutosha hupata matatizo ya ''utendaji kazi mbaya wa moyo (bad cadiac functioning) yakiwemo mapigo mabaya ya moyo (heart rate) na shinikizo la damu (blood pressure).
 
Utafiti pia unaonyesha kwamba muda wa asubuhi (alfajiri) ni muda pekee mzuri wa kuweza kufanya mambo yako kwa umakini na ufanisi mkubwa kwa kuwa wakati huo ubongo unakuwa hauna msongo wa mawazo.
 
Utafiti pia unaonyesha kwamba muda wa asubuhi (alfajiri) ni muda pekee mzuri wa kuweza kufanya mambo yako kwa umakini na ufanisi mkubwa kwa kuwa wakati huo ubongo unakuwa hauna msongo wa mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…