antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
😊"Lishe ndio mchezo pekee ambao unashinda unaposhindwa!" - Karl Lagerfeld
😊"Lishe ndio mchezo pekee ambao unashinda unaposhindwa!" - Karl Lagerfeld
Nchi ambazo wananchi wake hawana furaha 2022;
1. Afghanistan
2. Lebanon
3. Zimbabwe
4. Rwanda
5. Botswana
6. Lesotho
7. Sierra Leone
8. Tanzania
9. Malawi
10. Zambia
Safiiii sana
Likes nazo siku hizi imekuwa ni kitu cha kunyima mtu..!??
![]()
TMA yatabiri mvua kubwa kwa mikoa ya mwambao wa bahari ya Hindi kuanzia Aprili 12 hadi Aprili 14
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhali ya kuwepo kwa mvua kubwa kwa mikoa iliopo mwambao wa bahari ya Hindi kuanzia Aprili 12 hadi Aprili 14, 2022. Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Aprili 11, 2022 inaonyesha kuwa mkoa inayoweza kukumbwa na mvua hiyo ni Dar es Salaam, Pwani...www.jamiiforums.com
tupo,kila kitu bei juu. Maskini tunatesekaUwongo Tanzania hatupo kabisa, hapo ni Kenya au Nigeria walahi