Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa mujibu wa Umoja Wa Mataifa (UN), Kutengeneza nguo aina ya Jeans moja tu inahitaji Lita 10,000 za maji.
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
Aisee..Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye Jarida la "Journal of Sexual Medicine" ulionesha kuwa Wanaume wafupi hufanya zaidi mapenzi na wenza wao tofauti na watu warefu.
Duh....Nchi ambazo wananchi wake hawana furaha 2022;
1. Afghanistan
2. Lebanon
3. Zimbabwe
4. Rwanda
5. Botswana
6. Lesotho
7. Sierra Leone
8. Tanzania
9. Malawi
10. Zambia
Safiiii sanaNchi ambazo wananchi wake wana furaha zaidi 2022;
1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Switzerland
5. Netherlands
6. Luxembourg
7. Sweden
8. Norway
9. Israel
10. New Zealand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafiti: Wanaume 04 kati ya 10 hupatwa na huzuni kila baada ya kumaliza kufanya ngono, kwa mujibu ya utafiti kutokea Queensland University Of Technology, Australia. Sababu zinatajwa ni kama uchovu, kujutia n.k
😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!Kwa kila mara unazama kwenye penzi zito (fall in love) wastani unapoteza marafiki zako wawili wa karibu. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu Cha Oxford.
Duh!Tafiti: Vifaranga vya Kuku vina akili zaidi kuliko mtoto mchanga wa binadamu (kabla hajafikisha miaka 04).
👍Homoni ya Testosterone' kwa wanaume kwa kawaida huwa juu zaidi kwa asubuhi na hushuka usiku, kitendo hicho huweza kumfanya mtu kua mchovu, hamu, ongezeko la hisia n.k