Tendo la ndoa na Pombe huwapa watu furaha zaidi kuliko kuwa na watoto na dini, kwa mujibu wa utafiti uliofanyika kutoka Chuo Kikuu Cha Canterbury, New Zealand
Moja ya faida za bia ni husaidia kuongeza uwezo wa kufikiri kwa binadamu, kuongeza hamu ya kula, husaidia katika mmeng'enyo wa chakula na huongeza maziwa kwa mama anaenyonyesha!NB: Kunywa kistaarabu!
KAA: Ubongo wake upo shingoni, mfumo wake wa neva upo tumboni, meno yapo kwenye utumbo, figo zipo kwenye kichwa. Anasikia kupitia miguu, anatambua ladha kupitia miguu na wanapenda kutumia mguu mmoja kama binadamu, kuna ambao wanatumia mguu wa kulia zaidi na wengine kushoto.
Hakuna utafiti wowote unaothibitisha kuwa matumizi ya Bangi huathiri ukuaji wa seli za ubongo. Baadhi ya tafiti zinaonesha matumizi ya Bangi ndio huongeza ukuaji zaidi wa seli za ubongo.Vyanzo: Heathline, Webmd, MIT.
Indonesia: Mwaka 2018 kijana mmoja kwa jina la Faiz Nurdin (28) alimuua jirani yake kwa kile kinachodaiwa kuchoka na tabia ya jirani huyo kuwa anamuuliza mara kwa mara kwamba ataoa lini.
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye Jarida la "Journal of Sexual Medicine" ulionesha kuwa Wanaume wafupi hufanya zaidi mapenzi na wenza wao tofauti na watu warefu.
Tafiti: Wanawake ambao wameolewa na Wanaume warefu huwa na furaha zaidi kwenye ndoa zao. Kwa mujibu wa tafiti zingine zinadai Wanaume warefu huwa na uwezo mkubwa kwenye kuongoza, huwa na nguvu na mvuto zaidi vitu vinavyopendwa zaidi na Wanawake.
Dr. Joycelyn Elders aliteuliwa kuwa Mganga Mkuu wa Marekani mwaka 1993 lakini mwaka 1994 alilazimishwa ajiuzulu kutokana na kutoa maoni akisapoti vitendo vya kujichua (punyeto) kuanza kufundishwa mashuleni ili kusaidia kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa vijan
Tafiti: Watu wanaopenda kuendelea kuwa na urafiki na wapenzi waliochana nao (Ma- EX) kuna uwezekano mkubwa wanasumbuliwa na matatizo ya akili (vichaa)!
Tafiti: Wanaume 04 kati ya 10 hupatwa na huzuni kila baada ya kumaliza kufanya ngono, kwa mujibu ya utafiti kutokea Queensland University Of Technology, Australia. Sababu zinatajwa ni kama uchovu, kujutia n.k
Bodi ni moja ya kabila kutokea nchini Ethiopia ambao wao huwa na utamaduni kwa wanaume kushindana nani ni kibonge' na kitambi zaidi ya mwenzake. Washiriki hujitenga kwa takribani miezi 06 wakiwa wanakula mchanganyiko wa damu na maziwa ya ng'ombe tu, baadae hujitokeza na kisha wanakijiji humchagua kijana ambae amekua kibonge' na kitambi zaidi ya wenzake. Zawadi ni unatangazwa kuwa shujaa kwa muda wote!
Furaha yako sio furaha yake. Jifunze kujipa furaha mwenyewe mwambie nae afanye kama wewe kisha mkutane wote kwa pamoja ili mfurahi. Usimpe mwenzako wajibu wa kukupa wewe furaha wakati wewe mwenyewe kujipa furaha umeshindwa huo ni ubinafsi." Will Smith
Mbuni wanaofugwa kuna muda huvutiwa zaidi na binadamu kimapenzi (sexually) kuliko Mbuni wenzake, hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanyika nchini Uingereza mwaka 2003.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.