antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
šTendo la ndoa na Pombe huwapa watu furaha zaidi kuliko kuwa na watoto na dini, kwa mujibu wa utafiti uliofanyika kutoka Chuo Kikuu Cha Canterbury, New Zealand
šTendo la ndoa na Pombe huwapa watu furaha zaidi kuliko kuwa na watoto na dini, kwa mujibu wa utafiti uliofanyika kutoka Chuo Kikuu Cha Canterbury, New Zealand
Duuh!KAA: Ubongo wake upo shingoni, mfumo wake wa neva upo tumboni, meno yapo kwenye utumbo, figo zipo kwenye kichwa. Anasikia kupitia miguu, anatambua ladha kupitia miguu na wanapenda kutumia mguu mmoja kama binadamu, kuna ambao wanatumia mguu wa kulia zaidi na wengine kushoto.
šWanawake wanapenda vitu, Wanaume tunapenda Wanawake. Wanaume tunapenda kumiliki magari mazuri sio kwa sababu tunapenda magari mazuri, sababu tunajua wanawake wanapenda magari mazuri." Dave Chappelle
AmenMungu atupe afya na uzima š