A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,081 Ni vizuri kupumzika
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,082 Misongo mingine ya mawazo ni muhimu kwa sabubu inatuwezesha kuchukua hatua za haraka wakati dharura: huchangia homoni kwa jina cortisol na wakati ikipasuka hutuwezesha kupata nguvu na kufanya jamba kwa umakini.
Misongo mingine ya mawazo ni muhimu kwa sabubu inatuwezesha kuchukua hatua za haraka wakati dharura: huchangia homoni kwa jina cortisol na wakati ikipasuka hutuwezesha kupata nguvu na kufanya jamba kwa umakini.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,083 Lakini msongo wa muda mrefu huathiri sana ubongo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,084 Kwa hivyo ni muhimiu kujua kuwa tunastahili kupumzika mara moja kwa wakati fulani kuwezesha pia ubongo kupumzika.
Kwa hivyo ni muhimiu kujua kuwa tunastahili kupumzika mara moja kwa wakati fulani kuwezesha pia ubongo kupumzika.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,085 5. Tafuta njia zingine za kujipa changamoto.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,086 Jifunze kitu kipya
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,087 Njia muhimu ya kuboresha ubongo wako ni kuupa changamoto kwa kujifunza kitu kipya kabisa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,088 Sughuli kwa mfano kujifunza kuchora au kujifunza lugha mpya huchangia ubongo kuboreka zaidi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,089 Unaweza pia kucheza michezo ya mitandaoni dhidi ya marafiki au watu wa familia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,090 6. Sikiliza Muziki
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,091 Muziki huchangamsha ubongo
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,092 Ushahidi unaonyesha kuwa muziki huboresha ubongo kwa njia ya kipekee
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,093 Wakati ukiangalia ubongo wa mtu ambaye anasikiliza muziki au anayecheza muziki ni kuwa ubongo wote hushiriki.
Wakati ukiangalia ubongo wa mtu ambaye anasikiliza muziki au anayecheza muziki ni kuwa ubongo wote hushiriki.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,094 Jiunge na kikundi na waimbaji au lipa tiketi kuhudhuria tamasha la bendi unayoipenda.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,095 7. Somea mtihani kitandani
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,096 Somea mtihani kisha ulale
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,097 Kama utajifunza kitu kipya wakati wa mchana, huwa kunatokea mawasiliano kati ya seli moja ya ubongo na nyingine
Kama utajifunza kitu kipya wakati wa mchana, huwa kunatokea mawasiliano kati ya seli moja ya ubongo na nyingine
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,098 Unapolala, mawasiliano huwa dhabiti na huwa unakumbuka kile umejifunza.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,099 Kwa hivyo kulala ni kitu muhimu katika kujikumbusha kile umesoma.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,100 Ikiw unampa mtu kitu cha kujifunza kabla hajalala, watakikumbuka wanapoamka asubuhi kuliko kumpa mtu kitu cha kukariri mapema asubuhi.
Ikiw unampa mtu kitu cha kujifunza kabla hajalala, watakikumbuka wanapoamka asubuhi kuliko kumpa mtu kitu cha kukariri mapema asubuhi.