Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
KUNA TOFAUTI KATI YA KUKOSEA NA KUSHINDWA:
Hapa wengi huchanganya ila leo utajua tofauti iliyopo; Kukosea kutakuonesha udhaifu uliopo katika kile ukifanyacho wakati kushindwa ni kukubaliana na udhaifu huo. Hivyo Mara nyingi kama si zote tunakosea kabla ya kushindwa, tatizo wengi wakikosea wanafikiri wameshindwa.