Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Putin
20220415_143903.jpg
 
Matatizo yanafanya tuwe na uzoefu na tukomae. "Kila, tatizo ni zawadi bila matatizo tusingekua," alisema Anthony "Tony" Robbins (alizaliwa Februari 29, 1960) wa Marekani, mwandishi wa vitabu vya kutia matumaini na hamasa. Matatizo ni fursa ya kukua.
 
Back
Top Bottom