Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Barcelona wamerejea katika kinyang'anyiro cha kusaini mkataba na mshambuliaji Muargentina Lautaro Martinez, 24, kutoka Inter Milan huu upande wa Itali ukiwa tayari kushusha bei yao yao waliyokuwa wanaitaka kwa ajili ya kumpokea mchezaji huyo kama sehemu ya mkataba. (Sport - in Spanish)
 
Mlinzi wa zamani wa Newcastle Jose Enrique anaamini mchezaji nyota Mdenmark Christian Eriksen atakuwa ni mchezaji bora atakayenunuliwa na klabu yake iwapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 ataondoka Brentford mwishoni mwa mkataba wake wa muda mfupi . (Chronicle)
 
Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 23, anapotarajiwa kusalia Paris Saint-Germain, Real Madrid wanajiandaa kuongeza juhudi za kumsaka mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland - hatua ambayo italemaza nafasi ya Manchester City ya kumsajili kiungo huyo wa kimataifa wa Norway, 21. (Sunday Mirror)
 
Back
Top Bottom