antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
😂Nimeamini, hakuna biashara nzuri hapa nchini kama ya kupangisha nyumba, ukimiliki wapangaji ni kama unamiliki watumwa. Ni kwanini tunafichana ulaji?
Naomba niambiwe, kuna tofauti gani kati ya mtu wa miaka ya 1800 anaejenga mabanda mazuri ya kuhifadhi watumwa, halafu anaenda sokoni na kununua watumwa kwa gharama kubwa, (mtu alikuwa anagharimu hadi milioni 200 kama akiwa na nguvu na afya) , ambapo humsafirisha huyo mtumwa hadi kwenye ranch/...www.jamiiforums.com
HahahahaMachungu bhana[emoji4]
Nchi hii acha[emoji23]
Afu anaita nyumba!
[emoji16][emoji16][emoji16]sawa mkuu hila majukumu yanabana sanaKweli..
We mwenyewe unakujaga mara moja moooja!
Labda wanakuiga. Jitajidi kuongeza frequency!
AminaMuwe na pasaka njema wapendwa!
View attachment 2190686