Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
πKunywa maji mengi
Ni dhahiri kuwa miili yetu imejengwa kwa maji asilimia 70, hivyo kunywa vinywaji kama vile soda na sharubati (juice) za viwandani kunaongeza sumu mwilini.
SawaHivi leo yapo mafuta yasiyo halisi yanayozalishwa viwandani, hivyo kula mafuta haya ni kuongeza sumu mwilini mwako. Pia ulishaji mbaya wa wanyama umepelekea mafuta ya wanyama kuwa na viambata vyenye sumu ambavyo havifai mwilini mwako β Kwa mfano nguruwe wanapewa ARV na Urea ili wakue haraka.
AmenMungu atupe afya na uzima π
AmenMungu atupe usiku mwema π