Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa Manchester City na Uingereza Raheem Sterling, 27, yuko kwenye orodha ya wachezaji ambao AC Milan inataka kuwasajili huku kukiwa na ripoti za ununuzi wa timu hiyo ambayo ni bingwa mara 18 nchini Italy kwa dau la paundi milioni 850. (Gazzetta dello Sport via Mail)
 
Newcastle wanatazamiwa kusitisha nia yao ya kumnunua Darwin Nunez wa Benfica, 22, huku mshambuliaji huyo wa Uruguay akitaka kujiunga na klabu ya Ligi ya Mabingwa, naye mshambuliaji wa Brentford Muingereza Ivan Toney, 26, akizingatiwa kama mbadala wake. (Telegraph)
 
Back
Top Bottom