Newcastle wanatazamiwa kusitisha nia yao ya kumnunua Darwin Nunez wa Benfica, 22, huku mshambuliaji huyo wa Uruguay akitaka kujiunga na klabu ya Ligi ya Mabingwa, naye mshambuliaji wa Brentford Muingereza Ivan Toney, 26, akizingatiwa kama mbadala wake. (Telegraph)