myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee...Real Madrid na Barcelona wanataka kumsajili beki wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger, 29, ambaye kandarasi yake inamalizika mwisho wa msimu huu lakini anataka kusalia Stamford Bridge. (The Athletic )
Safffiiii sana,
Duh!!! hii mambo hii...
AmenMungu atupe afya na uzima.ππ€²
AmenMungu atupe afya na uzima π