A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,641 Baada ya matengenezo, ilianza kutumika tena kutoka 1920. Inachukuliwa kuwa ya zamani na ya kuaminika, meli hii ilitumiwa hadi mwaka 1935.
Baada ya matengenezo, ilianza kutumika tena kutoka 1920. Inachukuliwa kuwa ya zamani na ya kuaminika, meli hii ilitumiwa hadi mwaka 1935.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,642 Titanic ilifanya safari yake ya kwanza Aprili 10 mwaka 1912.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,643 Ilikuwa imenusurika kugongana na meli nyingine nje ya bandari ya Southampton. Mnamo Aprili 14, ikawa mwathirika wa ajali ya kihistoria.
Ilikuwa imenusurika kugongana na meli nyingine nje ya bandari ya Southampton. Mnamo Aprili 14, ikawa mwathirika wa ajali ya kihistoria.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,644 Kubwa pia haikutumiwa sana. Jina lake lilibadilishwa kuwa Britannic.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,645 Jeshi la Wanamaji la Uingereza liliigeuza kuwa hospitali wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,646 Meli hii ilizama mnamo Novemba 1916.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,647 Meli hizi tatu zilikuwa kubwa sana wakati wao lakini ni ndogo sana ikilinganishwa na leo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,648 antimatter said: Meli hizi tatu zilikuwa kubwa sana wakati wao lakini ni ndogo sana ikilinganishwa na leo. Click to expand... 😊
antimatter said: Meli hizi tatu zilikuwa kubwa sana wakati wao lakini ni ndogo sana ikilinganishwa na leo. Click to expand... 😊
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,649 "Zilikuwa boti tu ikilinganishwa na meli za leo," anasema Murta.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,650 Urefu wa Titanic ulikuwa mita 269. Ikiwa ni pamoja na wafanyakazi na abiria, ilikuwa na malazi ya watu wapatao 3300.
Urefu wa Titanic ulikuwa mita 269. Ikiwa ni pamoja na wafanyakazi na abiria, ilikuwa na malazi ya watu wapatao 3300.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,651 Meli kubwa zaidi ya leo ya baharini ni Wonder of the Sea, ambayo ina urefu wa mita 362 na inaweza kubeba abiria 7,000 ikiwa na wahudumu 2,300.
Meli kubwa zaidi ya leo ya baharini ni Wonder of the Sea, ambayo ina urefu wa mita 362 na inaweza kubeba abiria 7,000 ikiwa na wahudumu 2,300.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,652 4. Sababu ya vifo vingi hivyo ilikuwa nini?
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,653 Takriban watu 1500 walikufa katika ajali ya Titanic, na baada ya hapo juhudi zikaanza kuboresha mfumo wa usalama wa vyombo vya baharini.
Takriban watu 1500 walikufa katika ajali ya Titanic, na baada ya hapo juhudi zikaanza kuboresha mfumo wa usalama wa vyombo vya baharini.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,654 Baada ya ajali hii, matumizi ya vifaa vinavyofanana na rada yalianza kwa usalama wa meli zinazoenda baharini.
Baada ya ajali hii, matumizi ya vifaa vinavyofanana na rada yalianza kwa usalama wa meli zinazoenda baharini.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,655 Profesa Alho anaeleza, "Matumizi ya rada yalianza tu baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,656 Kabla ya hapo kila kitu kilitegemea kuona.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,657 Baharia alikuwa ameketi kwenye mwinuko kutoka ambapo angeweza kutahadharisha kwa kuona kilima cha barafu kinachokaribia.
Baharia alikuwa ameketi kwenye mwinuko kutoka ambapo angeweza kutahadharisha kwa kuona kilima cha barafu kinachokaribia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,658 Hiyo ndiyo njia, haikuwa salama. ikiwa meli ilikuwa inakwenda kwa kasi kubwa."
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,659 Masharti ya usalama ya ajali ya Titanic yalisisitizwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 22, 2022 #1,324,660 Watu wengi walikufa katika ajali ya Titanic kwa sababu hapakuwa na boti za kuokoa maisha kwa ajili yao.
Watu wengi walikufa katika ajali ya Titanic kwa sababu hapakuwa na boti za kuokoa maisha kwa ajili yao.