antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Mambo yamekuwa mengi siunajua Tena tupo busy na royal tour πππ. Ila leo nitafanya kazi yangu ya u DJ siwezi iacha π€©π€©mimi na ndugu yake raisi samia suluhu ni marafiki sana, tokea Kgothalo ateuliwe nafasi ya ubalozi amekuwa mtoro sana humu ndani.
Nataka nimuombe huyu jamaa amwambie dada yake amuondoe kgothalo kwenye nafasi ya ubalozi.
aje atembeze comment za nyimbo humu ndani
haters katika ubora wangu
huyo ndugu yake samia suluhu anashabikia liverpool
jina lake la umaarufu linaanzia na herufi K