Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umewahi kuona mtu anasafiri bila kujua anakoelekea? Yaani anajihimu asubuhi na mapema kuelekea stendi halafu anapanda basi lolote na kulipa nauli bila kujali kama hilo gari litamfikisha wapi? Hakuna hatari kama hiyo.
 
Watu wengi waliosoma kwa wasiosoma wanaishi maisha ya namna hii bila mpango wa kuwaongoza katika maisha yao.Wakati mwingine imekuwa vigumu sana kuweza kutofauti kati ya mtu mwenye elimu na yuke asiye na elimu pale inapokuja katika swala zima la kuwa na mpango na kuuishi.
 
Ndiyo maana unakuta mtu amesoma vizuri ana kazi nzuri na maisha yake yote kazini kila siku anaishi kwa kutekeleza mpango wa mwajiri wake lakini mtu huyo huyo anaporudi nyumbani hawezi kuweka hayo maarifa kwenye maisha au shughuli zake binafsi.
 
Kupanga ni kazi ngumu kuliko kutekeleza inahitaji kukaa chini na kuvuta utulivu kuwaza kwa kina namna unavyotaka shughuli zako ziwe katika kipindi fulani. Inahitaji kufikiri na hakuna kazi ngumu ambayo watu wengi hawapendi kufanya kama kufikiri.
 
Hizo ni faida chache zipo nyingi za kuwa na mpango katika maisha,biashara,mradi au huduma yoyote unayotaka kufanya. Kama unataka matokeo makubwa katika shughuli zako nakushauri ukae utafakari andika au tafuta mtu umsimulie maono na malengo yako akuandikie mpango.
 
 
Manchester United huenda ikamuuza mshambuliaji wa England Marcus Rashford, mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, beki wa kulina wa England Aaron Wan-Bissaka, beki wa kati wa Ivory Coast Eric Bailly, aliyekuwa beki wa England Phil Jones na beki wa kushoto wa Brazil Alex Telles mwisho wa msimu huu kama mpango wa mabadiliko chini ya mkufuni mpya Erik ten Hag. (Sun)
 
Kiungo wa kati wa Uholanzi Donny van de Beek, 25, anatarajiwa kupatiwa fursa ya kufufua matumaini yake ya kikazi katika timu hiyo ya Old Trafford na aliykuwa mkufunzi wake wa Ajax boss, wakati uhamisho wake wa mkopo katika klabu ya Everton utakapokamilika . (Sun)
 
Manchester United wamekataa ombi la Ten Hag la kumrudisha katika klabu hiyo aliyekuwa naibu kocha wa Sor Alex Furguson Steve McClaren ili kumjumuisha katika makocha wake. (Telegraph)
 
RB Leipzig kwa mara nynegine tena imesisistiza kwamba kiungo mshambuliaji Christopher Nkunku, 24, atasalia kuwa mchezaji wake msimu ujao , licha yah amu kutoka kwa Manchester United and Arsenal. (Sky Sports Germany - in German)
 
Back
Top Bottom