Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,988
- 1,442
Nzuri Sana AsanteAma hakika tunda hili ni la kipekee kwani pia huweza kusaidia kukabiliana na tatizo la shinikizo la damu kwani lina kiwango kikubwa cha madini ya ‘potassium’ na wakati huo huo pia tunda hili lina kiasi kidogo cha chumvi ‘sodium
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app