Kushindikana kwa malezi miongoni mwa wazazi wa kileo kuna reflect katika maudhui hasa ya vijana wanaoyumkinika kuwa wasomi kwenye mtandao pendwa wa twitter. Nimeichagua twitter kwa sababu imejipambanua kuwa host vijana wengi wasomi. Ukifuatilia mada wanazopakia kufollow na kulike unagundua...
Kuna watu hisia zao hubadilika kutokana na msimu, mfano msimu wa kiangazi huwa na furaha zaidi tofauti na msimu wa mvua ambapo husumbuliwa na stress au depression, kitaalam inaitwa Seasonal Affective Disorder.
Watu hawa wanajua mambo kwa undani na kwa usahihi. Ukiwauliza hiki au kile watakujibu bila wasiwasi tena hata na ziada yake. Naamini sote tunatamani kuwa kama watu hawa.
Je ni sababu gani zinawafanya watu hawa kufahamu mambo mengi? Karibu nikushirikishe sababu 10 zinazowafanya baadhi ya watu kufahamu mambo mengi zaidi kuliko wengine.