Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika maisha unatakiwa kujiamini kwa kila hali,ili ufanikishe malengo yako ni lazima ujiamini,ndoto nyingi zimefeli sababu ya kutokujiamini na malengo mengi hayafikiwi sababu ya kutokujiamini unavitu vingi mkononi mwako lakini hujiamini navyo unafursa nyingi mbele yako huzioni sababu hujiamini,unawazo bora ndani yako hulifanyi sababu hujiamini
 
Back
Top Bottom