Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Michezo hii ni tofauti kabisa na michezo mingine yote ya ufukweni na uwanjani. Michezo ya majini ni hatari kiasi.
SawasawaMoyo wa mwenye hekima humwezesha kusema kwa busara;
huyafanya maneno yake yawe ya kuvutia.
Kweli..Cha mlevi huliwa na mgema.