Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ni kutokana na sababu kuwa magurudumu ya gari huelea kwenye maji kutokana na kuwa na upepo ndani yake; hivyo hulifanya gari liwe rahisi kuzolewa na maji
 
Kagua gari kabla ya safariKabla ya safari yoyote, gari kama chombo cha moto linahitaji kuandaliwa. Ni muhimu kuhakikisha taa, breki, injini, visafisha vioo (wiper blades), pamoja na sehemu nyingine za gari zinafanya kazi vyema kabla ya safari.
 
Kagua gari kabla ya safari

Kabla ya safari yoyote, gari kama chombo cha moto linahitaji kuandaliwa. Ni muhimu kuhakikisha taa, breki, injini, visafisha vioo (wiper blades), pamoja na sehemu nyingine za gari zinafanya kazi vyema kabla ya safari.
 
Kwa mfano utahitaji taa pamoja na visafisha vioo unapoendesha gari wakati wa mvua au ukungu ili uone mbele vyema. Hivyo swala la ukaguzi wa gari kabla ya safari haliepukiki.
 
Epuka kupita magari mengine

Moja kati ya chanzo kikubwa kinachosababisha ajali hivi leo ni kupita magari mengine (overtaking). Kutokana na kupungua kwa uwezekapo wa kuona pamoja na utelezi wakati wa mvua au ukungu, inashauriwa kutokupita magari mengine ikiwa hakuna ulazima.
 
Hili litaepusha ajali ambazo zingeweza kuepukwa; hata hivyo ikiwa ni lazima kupita magari mengine, basi ni vyema kuchukua tahadhari kubwa pamoja na kuzingatia kanuni za kupita magari mengine.
 
Zingatia kanuni nyingine za barabarani

Kuna kanuni lukuki zinazotawala matumizi ya barabara, kanuni hizi zinapaswa kuzingatiwa vyema hasa wakati wa mvua na ukungu.
 
Hakikisha unasoma maelekezo unayopewa kwenye alama za barabarani, kutoka kwa askari wa usalama barabarani pamoja na madereva wengine na kuyatekeleza vyema.
 
Hakikisha unasoma maelekezo unayopewa kwenye alama za barabarani, kutoka kwa askari wa usalama barabarani pamoja na madereva wengine na kuyatekeleza vyema.
 
Panapotakiwa kupunguza mwendo punguza, panapotakiwa kusimama simama, panapotakiwa kupisha pisha ili usisababishe matatizo yasiyokuwa na ulazima.
 
Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri.
 
Ili kuhakikisha usalama wako pamoja na watumiaji wengine wa barabara, yapo mambo kadhaa unayopaswa kuyazingatia kabla na wakati wa kuendesha gari umbali mrefu.
 
Kagua na andaa gari
Kabla ya safari yoyote gari linahitaji kukaguliwa na kuandaliwa, hasa kabla ya safari ndefu. Kuna mambo kadhaa unayohitaji kuyakagua kwenye gari lako:
 
Kagua mafuta lainishi (oil). Hakikisha gari yako ina mafuta lainishi ya kutosha tena ya ubora unaotakiwa.
 
Back
Top Bottom