Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Vaa kama mtu unayetaka kuwa.
Ukishajua unataka kuwa nani, angalia jinsi watu hao wanavaa kisha vaa hivyo pia. Hata kama hujafikia ngazi hiyo, wewe vaa kama watu hao, na hilo litawafanya watu wakuchukulie kama mmoja wao na kukusogeza karibu na mafanikio yako