Ni miongoni mwa watu wa kwanza ambao walifanikiwa kuhama kutoka Afrika na wanasayansi wanaamini kuwa walikuja katika kisiwa cha Andaman miaka 60,000 iliyopita.
Mwaka 2006, kikundi cha kampeni ya uokoaji watu kimataifa walisema kabila hilo liliuwa wavuvi wawili ambao walikuwa wanajaribu kuingia katika kisiwa chao kinyume na sheria.
Jimbo lililo magharibi mwa India la Gujarat, limepitisha sheria ya kuharamisha kuchinjwa ng'ombe na kutangaza adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa yoyote ambaye atapatikana na kosa hilo.