Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda. . Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156] . Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pamoja na kuwa ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni, lakini kisayansi pia limethibitika kusheheni madini na vitamini lukuki, hivyo kuwa na faida nyingi kiafya.
3. Ulaji wa tende huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa choo, au matatizo ya kupata choo kigumu kinachosababisha maumivu wakati wa kujisaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.