Baada ya kubadilisha mtindo wao wa maisha, watafiti walibaini kuwa wale waliokunywa kahawa yenye sukari au bila kuwa na sukari, walipunguza hatari yao ya kifo cha ghafla, wakilinganishwa na wale ambao hawakunywa chai wala kahawa kabisa.
Utafiti huo pia ulibaini kupungua kwa asilimia 29 kwa uwezekano wa kifo, lakini wataalamu wanasema sio mwisho wa utafiti, utaendelea kwasababu utafiti huo ulikuwa ulikuwa ni wa kwanza wa aina yake.
Liverpool wanamfuatilia mshambuliaji wa Rennes Mfaransa Martin Terrier, 25, kama mbadala wa Sadio Mane, iwapo mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal, 30, ataondoka Anfield. (Kioo)
Meneja wa Barcelona Xavi amefanya mazungumzo na kiungo wa kati wa Wolves na Ureno Ruben Neves, 25, kuangalia uwezekano wa kumsajili. (Sport - in Spanish)
Arsenal bado wanamtaka kiungo wa Leicester Youri Tielemans huku Mbelgiji huyo mwenye umri wa miaka 25 akitarajiwa kuondoka katika klabu hiyo msimu huu wa joto, lakini vilabu vingine viwili pia viko kwenye kinyang'anyiro hicho. (Fabrizio Romano)
Wakala wa Miguel Almiron anasisitiza kuwa mshambuliaji huyo wa Paraguay mwenye umri wa miaka 28 hataondoka Newcastle United msimu huu, huku kipengele chake cha kuachiliwa kinaripotiwa kuwa na thamani ya £60m. (Chronicle Live)
Inter Milan wanatarajiwa kufanya mazungumzo na mwanasheria wa mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku, 29, kuangalia namna mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji anavyoweza kurejea Serie A (Guardian)
Inter Milan wanatarajiwa kufanya mazungumzo na mwanasheria wa mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku, 29, kuangalia namna mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji anavyoweza kurejea Serie A (Guardian)
Leeds United wanakabiliwa na vita ya fedha ya pauni milioni 10 dhdi ya klabu ya Bundesliga Borussia Dortmund ili kumsajili beki wa kulia wa kimataifa wa Denmark Rasmus Kristensen, 24, kutoka Red Bull Salzburg. (Mail)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.