Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbuka kuwa, ukitumia muda wako vyema itakusaidia hapo baadaye kuweza kutimiza malengo mengi na kuwa na mafanikio mengi kutokana na kutumia muda wako mwingi kuhakikisha unafanya maendeleo.
 
Labda una furaha kutokana na una familia nzuri, lakini kwa kina utaona kuwa furaha hiyo inategemea uwepo wa familia nzuri, na uwepo huo ukitenganishwa kwa vifo, maisha, mabadiliko mbalimbali basi furaha yake nayo inaisha
 
Furaha inayopatikana nje ni furaha ya muda mfupi lakini ukijizoesha kupata furaha ndani yako utaiona furaha isiyo na kikomo wala hautakuwa na wasiwasi wa kupoteza furaha yako kwani inapatikana bure.
 
Back
Top Bottom