antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abeid
Habar wakuu ujumbe huu nimeupata kutuko group moja nikaona ni vyema kushare wa Watanzania wenzangu Ili tuchukue tahadhari[emoji24][emoji24][emoji24] Inauma Sana Ndugu zangu nataka kuwapa uzoefu na ushuhuda wa kifo Cha jamaa na mdogo wangu Abeid falhum, Asubuhi saa12 ya Tarehe 19, May nimeamka...