Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunza na zingatia Afya yako

Katika kitu vitu vingi ambavyo vinaweza kumpa binadamu furaha pasipo kujalisha masikini wala tajiri, rangi wala kabila ni afya njema.
 
Tengeneza bustani ndani ya nyumba yako na kula kile ulicho panda, epukana na sumu mbalimbali zinazozalishwa.
 
Jiunge na timu yoyote mtaani kwako ya mazoezi na michezo. Au jitahidi kufanya mazoezi kila wk/end, Lala vizuri na kwa muda unaotosha hakikisha unapata masaa nane ya kupumzika kila siku.
 
weka career yako katika mwonekano utakaokuletea furaha.

Tumia vizuri muda wako, hakikisha una tumia muda wako mwingi katika uzalishaji na kuleta mabadiliko katika jamii inayokuzunguka.
 
Kuwa na discpline na tunza hadi yako kati yako nahat jamaa zako kwani ni kwa kufanya hivyo tu ndipo utakapoweza kutengeneza njia za mafanikio katika shughuli zako.
 
kama una ujuzi wa kutosha juu ya shughuli ambazo unazifanya na bado umeajiriwa, huu ndio muda muafaka wa wewe kufikiria kuanzisha na kuishi ndoto zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…