Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Panya panyaUbaya wa mbio za panya hata ukishinda utaendelea tu kua panya!
Panya panyaUbaya wa mbio za panya hata ukishinda utaendelea tu kua panya!
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Ugumu wa kazi ndio kipimo cha akili.
[emoji818]Mtu akila samaki sio habari,
Habari ni pale samaki akila mtu.
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Mambo ya kitoto kama hukuyafanya utotoni basi utayafanya ukubwani.
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Mjinga akielevuka mwelevu yupo mashakani.
Nawe pia BossMuwe na Afya Njema
Nimerudi kutoka kuwanga vp bado unawanga tu au umebambwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] tukibambwa mi simo
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Na kazi ndo kipimo cha utuUgumu wa kazi ndio kipimo cha akili.