Mkumbushe Mwanao kuwa Wengine hatuna Mtu wa kumtegemea au Ndugu wa kumlilia Shida, Ukimtoa MUNGU Tunaamini sana kwenye Nguvu, Juhudi na Maarifa Yetu. ZAIDI Aishi Vizuri na Watu ila asijipe umuhimu kwenye maisha ya WATU.
Jirani subiri kwanza, hii baridi itaniua...
Anko Esta aaaaaa....
Mpendwa Nuzulati iiii...
Naomba mnigawie ile dhambi ya nesi, nipo siriasi jamaniiii..
Raha ya uzee kuigilizia...