Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,521 “Mafanikio huja kwa wale ambao wanafanya bidii kubwa kuyatafuta.”Henry David Thoreau
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,522 “Usijaribu kuwa mtu wa mafanikio. Bali jaribu kuwa mtu wa thamani.”Albert Einstein
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,523 “Acha kukimbilia pesa bali anza kukimbilia shauku yako.”Tony Hsieh
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,524 “Mafanikio ni kupita kutoka aina moja ya kushindwa hadi nyingine bila kukata tamaa.”Winston Churchill
“Mafanikio ni kupita kutoka aina moja ya kushindwa hadi nyingine bila kukata tamaa.”Winston Churchill
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,525 “Fanya kitu kimoja kila siku kinachokutisha.”Hajulikani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,526 “Ukitazama kwa karibu, mafanikio ya usiku mmoja huchukua muda mrefu.”Steve Jobs
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,527 “Hakuna siri ya mafanikio, ni matokeo ya maandalizi, kufanya kazi kwa bidii, na kujifunza kutokana na kushindwa.”Colin Powell
“Hakuna siri ya mafanikio, ni matokeo ya maandalizi, kufanya kazi kwa bidii, na kujifunza kutokana na kushindwa.”Colin Powell
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,528 “Inaonekana mafanikio yameungwa na matendo. Watu waliofanikiwa wanaendelea mbele. Wanafanya makosa lakini hawaachi.”Conrad Hilton
“Inaonekana mafanikio yameungwa na matendo. Watu waliofanikiwa wanaendelea mbele. Wanafanya makosa lakini hawaachi.”Conrad Hilton
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,529 “Kama unataka kufanya kitu, utatafuta njia. Kama hutafanya hivyo, utatafuta kisingizio.”Jim Rohn
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,530 “Siwezi kukupa kanuni ya mafanikio, lakini ninaweza kukupa kanuni ya kushindwa – nayo ni: Jaribu kumridhisha kila mtu.”Herbert Bayard Swope
“Siwezi kukupa kanuni ya mafanikio, lakini ninaweza kukupa kanuni ya kushindwa – nayo ni: Jaribu kumridhisha kila mtu.”Herbert Bayard Swope
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,531 “Mafanikio siyo ufunguo wa furaha. Furaha ni ufunguo wa mafanikio. Kama unapenda unachokifanya, utafanikiwa.”Albert Schweitzer
“Mafanikio siyo ufunguo wa furaha. Furaha ni ufunguo wa mafanikio. Kama unapenda unachokifanya, utafanikiwa.”Albert Schweitzer
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,532 “Mafanikio siyo vitu ulivyokamilisha kwenye maisha yako, bali ni nini ulichowahamasisha wengine kufanya.”Hajulikani
“Mafanikio siyo vitu ulivyokamilisha kwenye maisha yako, bali ni nini ulichowahamasisha wengine kufanya.”Hajulikani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,533 “Baadhi ya watu wengine wanaota mafanikio wakati wengine wanaamka na kufanya kazi.”Hajulikani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,534 “Baadhi ya watu wengine wanaota mafanikio wakati wengine wanaamka na kufanya kazi.”Hajulikani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,535 “Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali yaliyotupwa na wengine.”David Brinkley
“Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali yaliyotupwa na wengine.”David Brinkley
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,536 “Ili kufanikiwa ni lazima tuamini kuwa tunaweza.”Nikos Kazantzakis
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,537 “Kushindwa kwingi kwenye maisha ni watu wanaoshindwa kufahamu jinsi walivyo karibu na mafanikio wanapokata tamaa.”Thomas Edison
“Kushindwa kwingi kwenye maisha ni watu wanaoshindwa kufahamu jinsi walivyo karibu na mafanikio wanapokata tamaa.”Thomas Edison
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,538 “Kabla ya kitu kingine chochote, maandalizi ni ufunguo wa kufanikiwa.” Alexander Graham Bell
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,539 “Mafanikio siyo mwalimu mzuri, kushindwa hukufanya kuwa mnyenyekevu.” Shah Rukh Khan
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 12, 2022 #1,331,540 “Kila mara kujiamini na bidii kutakupa mafanikio.” Virat Kohli