myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiiii sana..
Safiiii sana..
Hakika..Fanya kile unachoweza kwa vyote ulivyonavyo, popote ulipo.”
Theodore Roosevelt
Kweli kabisa..“Hofu ni mojawapo ya adui mkubwa kwa mafanikio.”
Reginald Mengi
Bonge la maktaba.
Ulikuwa huko siku za karibuni malkia?Bwahaha [emoji1787]
Hapo ni [emoji632] France
👍Fursa hazitatokea, unatakiwa kuziunda.”
Chris Grosser
👍Uwe usiku wenye amani na utulivu
🤜Uwe usiku wenye amani na utulivu