myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa maziwa na karanga huu
Ndiyo jirani [emoji16][emoji16][emoji16]Usiku wa maziwa na karanga huu
Parachichi aisee!!!.....Naamini sasa hutopuza tena tunda la parachichi kwani umefahamu faida tele za tunda hili. Parachichi ni tunda linalopatikana kwa urahisi bila gharama kubwa ikilinganishwa na matunda mengine kama vile tofaa (apple).
Fanya matunda kuwa sehemu ya mlo wako sasa hasa tunda la parachichi ili uwe na afya njema.
😂😂😂😂😂😂😂Anko asante kwa gazeti hili hasa la parachichi la kienyeji😂😂😂😂😂Parachichi aisee!!!.....
Nimesoma na nimeelewa,ahsante Anko kwa elimu.
Ukute hata lile parachichi la kienyeji nalo lina faida hivi hivi eee! Maana akina dada wakianza kutumia unakuta ngozi inaanza kung'aa,mwili unaanza kuinuka hapa unabonyea pale... Jamani!
Ukute parachichi limeiva vizuri sasa, wadada waupate uji wa parachichi likisha jikoroga,wanafurahia mwee. Huku kwetu muda wote ni kutafuta maparachichi yaliyo iva, baridiiii...
Kwa hizi faida za parachichi najuta kuzeeka mapema, ningelikuwa kijana ningeliuza sana matunda ya kwenye mparachichi wangu.
Ahsante tena na tena kwa elimu binti mpole
🤜Huzuia saratani
Tafiti zilizofanyika zimebainisha kuwa kula matunda ya parachichi kunasaidia kupunguza kasi ya ukuaji wa seli za saratani ya tezi dume.
SawasawaHivyo basi, ukitaka kuweka afya ya ubongo wako katika hali nzuri na kuweza kufikiri vyema, basi kula tunda la parachichi mara kwa mara.
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏